Wednesday, 10 September 2014

New Music: Yemi Alade – Kissing

Baada ya kufanya vizuri na ngoma za “Johnny” na “Tangerine” mwanadada Yemi Alade kutoka Nigeria amechia wimbo mpya unaitwa “Kissing” ambao utakuwa ukipatikana katika Albam yake ya “King Of Queens” Producer wa hii ngoma ni Fliptyce

No comments:

Post a Comment