Sunday, 2 August 2015

SIKILIZA ; AUDIO YA NUHU MZIWANDA AKIMTONGOZA WEMA SEPETU

Kwenye hii audio Wema anasikika akisimamia msimamo wake wa kuwa hawezi 
kuwa na Nuh kwasababu yeye na shilole ni marafiki, “hasa hizo tatoo 
unazifanya nini ? .. hizo tatoo zako za shishi baby unazifanya nini ? au
na mimi unanichora hehe ? ” anasikika wema

Hii audio inaweza ikawa imevuja wakati mmbaya sana hasa ukizingatia ni 
kipindi ambacho mpenzi wake Nuh mziwanda, Shilole yupo kwenye matatizo 
ya kufungiwa kujihusisha na kazi yoyote ya kisanaa. Audio hiyo 
inaoneshwa ni ya muda kidogo kwasababu Wema anasikika akizungumzia kwenda kwenye KTMA.

No comments:

Post a Comment