Tuesday, 3 March 2015

Audio: Wiz Khalifa amchana makavu Amber Rose kwenye verse mpya



Wiz Khalifa ameamua kuwa mbogo katika vita na mama mtoto wake inayoendelea juu ya kila mmoja kugombania kulea mtoto wao na kuamua kuachia verse inayomchana Amber kavu kavu
Wiz ametupia mistari hiyo kwenye track ya Juicy J, inayoitwa "For Everybody", na kwenye wimbo huo kunasikika punchlines kadhaa zinazoashiria Amber ndio kamfanaya jamaa achane mistari hiyo.



Mistari michache kati ya hiyo ni hii hapa

"Man, I fell in love with a stripper, funny thing is I fell back out of love quicker."
"Bottles be turning these girls into thots, Instagram turning these wives into hos."

"You all 'bout that money, that s**t that I throw. Just make sure you clean off that pole."
There are many more ... give it a listen.
Kama hiyo itakuwa si ishara tosha ya kutupiwa makavu Amber, Wimbo huo ulitupiwa mitandaoni ukiambatana na picha ya Wiz na Juicy J, picha ambayo walipiga wakati wa harusi ya Amber na Wiz

No comments:

Post a Comment