Msanii wa muziki , Ally kiba amesema baada ya kuona wimbo wa "mwana" humefanya vizuri anatarajia kuachia ngoma mpya ambao hutakuja pamoja na video
Akizungumza na Planet Bongo ya EATV, Kiba amesema hana muda wa kusubiri kama mwanzo, sasa hivi ni ngoma baada ya ngoma .
"Kinachofuata ni kazi kama nilivyowapromise before, hakuna gape, kwahyo soon so far hakuna gape, lakini muda mchache ambao ulikuwepo sasa hivi ndo nafanya kazi, ndo niko nafanya kazi, sasa hivi nyimbo nyingine inakuja na video, Kwahiyo hicho ndo kitu ambacho kinafuata kama nilivyo waambia hakuna gape, kolabo za kimataifa zipo ila napenda kuwasuprise watu," Alisema Ally kiba

No comments:
Post a Comment