Young killer ametangaza kuahirisha kuachia video ya wimbo wake wa '13' aliomshirikisha Fid Q kufuatia msiba wa rapper Geez Mabovu uliotokea jana usiku

video hiyo ilitakiwa iachiwe alhamisi ya leo hii. Kupitia instagram killer amesema video hyo sasa itaachiwa wiki ijayo
No comments:
Post a Comment