Wednesday, 5 November 2014

Kelly Rowland ajifungua mtoto wa Kiume

 Kelly Rowland na mume wake ambaye pia ni meneja wake, Tim Witherspoon wamepata mtoto wa kiume waliyempa jina, Titan Jewell. Mtoto huyo alizaliwa jana
Muimbaji huyo wa zamani wa Destiny’s Child alitangaza mwezi June kuwa alikuwa anatarajia kupata mtoto, ikiwa ni mwezi mmoja tu baada ya kufunga ndoa huko Costa Rica.




No comments:

Post a Comment