
atika tuzo hizi Diamond ameongozana na mama yake mzazi Bi sandra, pamoja na Management yake akiwepo babu Tale na Mkubwa Fela, lakini kilichokuwa cha kuvutia Zaidi na kutawala mazungumzo mengi katika mitandao ya kijamii ni baada ya kumuona mwana dada zaritheboss kutoka Uganda akiwa ameambatana naye na kupiga baadhi ya picha huku Zari akiwa na mama Diamond kwenye gari la kifahari, watu wamezidi kujiuliza maswali je ndo ile project aliyoisema kwenye vyombo vya habari bado inaendelea? Kwani katika kutoa shukurani zake wakati wa tuzo alimshukuru fans wake waliopo duniani kote,mama yake,uongozi unaomsimamia na baby wake.
Kupitia account ya Instagram ya Wema Sepetu amepost picha hii kwa chini ikiambatana na maneno haya“Gnyt Instagramers…And Hongera tele ziende kwa kaka Platnumz…..I must say he did Tanzania proud” hapo kwenye neno kaka ndipo haswa panaibua swali.
No comments:
Post a Comment