Kwa wakati kitu ambacho hana ni kimoja tu. Timu ya kuichezea. Mkataba wake humekwisha Chelsea na sasa hanatafuta timu mpya. Lakini wanasema mwenye bahati habahatishi. Samuel Eit'oo anajiandaa kupata dili jipya la maana. Brendon Rodgers kwenye kikosi ca liverpool anasaka straika mpya na anamtazama mcameroon huyo kama mtu anayemfaa
ni mmoja wa wanasoka matajiri Afrika bado hanapata dili za maana za kuongeza pesa kwenye akaunti yake. Staa huyo anaandaliwa mshahara wa dola 123.359 kwa wiki ili tu akacheze liverpoo. Rodgers anataka kumlipa straika huyo kiasi hicho kwa kwa mkataba wa miezi kumi na mbili
straika huyo aliyezaliwa machi 10, 1981 huko douloa, Cameroon , ni mwanasoka mwenye pesa za kutosha na anatarajiwa kuwa na kipato cha kutosha na anatajwa kuwa na kipato kinachokadiriwa kuwa dola 77 milioni.
VYANZO VYA MAPATO YAKE
Kazi kubwa inayompa pesa Et'oo ni soka kupitia mchezo huo analipwa pesa za maana na hivyo kufungua makampuni mbali mbali na taasisi nyingine za huduma za kijamii.
Umahiri wake kwenye soka umemfanya pia kuvutia mikataba kama ya kibiashara ambapo ambapo puma na ford wamekuwa wakifanya kazi na mwanasoka huyo. Kwa mujibu wa jarida la Forbes, kwa msimu wa 2012-13, Eto'o aliingiza kiasi cha Dola 16.4 milioni.
Kiasi hicho kilichotokana na malipo yake ya mishahara na bonasi mbalimbali ambazo zilimfanya alipwe dola 13.4milioni huku mikataba ya kibiashaa ilimuingizia Dola 3 milioni.
Uhamisho wake wakutoka inte Milan kwenda Anzhi ulimfanyia kuwa tajiri mkubwa. Eto'o amekuwa na zali la kupata timu zinazomlipa vizuri. Wakati akiwa inter, alikuwa akivuna Dola 10 milioni kwa mwaka.
Mkataba wake wa mwaka mmoja aliosaini kuichezea Chelsea mwaka jana ulimfanyia alipwe zaidi ya Pauni 100,000 kwa wiki. Amevuna kiasi cha kutosha klabuni hapoStamfod Bridge.
Livepool nao wanataka kumuongezea utajiri Eto'o kwa kumwaandali mkataba wa pesa za maana kwa mchezaji wa umri kama wake kulipwa Dola 123,359 kwa wiki si pesandogo
MALI ZAKE NYINGINEZO
Pesa anazovuna Eto'o zimemfanyia awe na mali za kutosha. Mwanasoka huyo ana majumba ya maana katika nchi mbalimbali ikiwamo Urusi, England, Hispania, Itali na kwao Cameroon.
Eto'o pia ni mkubwa wa magari ya kifahari. Staa huyo karibu hana aina zote za magari ya kifahari kwenye Dunia hii.
Eto'o anamiliki Hummer H2 lenye thamani ya dola 90,000, Buggati -Veryon, Bentley GT63 na Audi R8. Ana Ford GT pia iliyomgharimu Dolac195,000, Ferari 599 Fiarano (Dola 400,000) na Lamboring Murcielago iliyomgharimu Dola 390,000
MAISHA BINAFSI
Eto'o ana ndugu wawili ambao pia ni Wanasoka;David na Etienne. Eto'o ana Watoto Wanne nao ni Maelle, Etiene, Siena na Lynn. Alifunga pingu za maisha na asali wake wa moyo wake miaka mingi, Georgete, Julai 6, 2007
Georgete ni mama wa Siena na Lynn ambao wote wanaishi Paris, Ufaransa
IMEANDIKWA NA IDDI KHAMISI GEDE

No comments:
Post a Comment