Hiyo ni album yake mpya tangu atoe Pink Friday: Roman Reloaded mwaka 2012. Album hiyo itakuwa na single kama “Pills N Potions” na “Anaconda,” ambayo kwa sasa imekamata nafasi tatu kwenye Billboard Hot 100.
The Pinkprint imetokana na album ya Jay Z ya mwaka 2001, The Blueprint.
No comments:
Post a Comment