Saturday, 14 June 2014

Wiz Kid na Chris Brown waingia studio pamoja.

Inaonekana kuwa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria yupo jikoni akitengeneza wimbo pamoja na Chris Brown kutoka nchini Marekani.

Kupitia Instagram WizKid ameweka picha hii akiwa na Chris Brown na kuandika “Studio!! @chrisbrownofficial @__bu x Tyga!! #DisturbingLA!”

No comments:

Post a Comment