Tarifa zinasema mlipuko Huo umetokea baada ya waumini wa dini ya kiislamu kumaliza muhadhara uliokuwa ukitolewa Miskiti wa darajani baada ya sala ya Isha.

Aliyekufa ni mmoja kati ya wahadhiri waliokuja kutoka Tanga na Sheikh Hamad ndiyo aliyekuwepo theater. Na Sheikh Kassim Mafuta kaumia kidogo.
Majeruhi 3 wamelazwa hospitali ya Mnazi Mmoja, Zanzibar wakiwa na majeraha madogo 'madogo. Majeruhi wa nne yupo theatre sasa hivi na nali yake sio mbaya. Picha/Habari na Salim Sujae
No comments:
Post a Comment