Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi nchini, imeweka hadharani majina ya wanafunzi ambao wamechaguliwa kujiunga na shule mbalimbali kwa ajili ya kuendelea na elimu ya sekondari kidato cha tano, sanjari na vyuo.
Orodha hiyo imetangazwa jijini Dar es salaam leo, ambapo idadi ya wasichana waliochaguliwa kwa nafasi hizo ni 9,378, waliochaguliwa katika machaguo 13 ya masomo mbalimbali ya kidato cha tano na masomo 11 ya vyuo vya ufundi.
Shule zilizopangiwa wanafunzi ni 201, ambapo shule za wasichana pekee ni 61, huku shule 34 zikiwa za jinsia zote mbili, wasichana na wavulana.
Idadi ya wanafunzi wavulana waliochaguliwa katika machaguo 13 ya masomo mbalimbali ya ngazi hiyo, ni 22,138.
1.wasichana shule zote
<<Bonyeza Hapa>> kuyasoma matandaoni
2.wavulana...Majina A mpaka L
<<bonyeza hapa kuyasoma mtandaoni>>
3.Wavulana majina ya shule M mpaka Z
<< Bonyeza hapa kuyasoma mtandaoni

No comments:
Post a Comment