Friday, 30 May 2014

WALE WAPENDA VVRESACE-WAMETOA T-SHIRT MAALUMU KWA AJILI YA KOMBE LA DUNIA

Kampuni ya mavazi ya Versace wametoa T-shirts maalum kabisa kwa ajili ya kuvaliwa wakati huu wa kombe la dunia.
T-shirts hizo ambazo zimeanza kuuzwa kwenye mtandao zinauzwa kwa bei ya $690 na £410 kulingana na size na material yaliyotumika kutengeneza.

Fulana hizo zimepewa jina la “Versace Loves Brazil T-shirt”.



No comments:

Post a Comment