:kuna wakati hunafikia hunajiuliza kuwa huu muziki ukoje' hunaandika mashair hunaumiza kichwa lakini hunakuta tofauti na watu na muziki wa tanzania sasa hivi humeingiwa na mdudu uushikaji na kitu kimoja kinaitwa rushwa
ambacho kinadhoofisha muziki wetu pamoja na wasanii,: alisema pia amedai kuwa baada ya kuona muziki humekuwa ndivyo sivyo amejipanga na kuanzisha biashara ndogondogo ambzo zinatoka na muziki wake.
biashara ya t_shirt na album zimenisaidia sana; nimekuwa nikituma katika mikoa mbalimbali na mauzo kusema kweli yanatia moyo na zinaweza zikakuendeshea maisha yako vizuri tofauti na hata pesa za show ambazo sometimes zinakuwa za majungu, kwamba hunatangazika ila huanchopata ni kidogo, kwahiyo niaendeleza harakati za muziki na huku nikifanya biashara ya t_shirt na album wangu ambazo natoa
No comments:
Post a Comment