Sunday, 18 May 2014

Kura za Diamond BET Awards kwenye kituo cha redio V101.9



Meneja wa Diamond ameongea na iddigede.blogspot.com saa saba mchana May 18 2014 na kusema link hii hapa chini ambayo ilipatikana kupitia kwa mwandishi/mpigapicha wa Diamond ni ya kituo cha Redio kilichoamua kupata kura za wasikilizaji tu kwenye list ya washiriki wa tuzo za BET 2014 ila ile yenyewe ya BET wamesema watatuma email kesho na ndipo watasema kama kura zitapigwa au ni njia gani kuu itatumika kuwapigia kura washiriki.


Kila kinachonifikia ni halali yako kikufikie mtu wangu, ili niwe nakutumia kila kinachonifikia jiunge na mimi kwenye twitter na  facebook kupitia jina hilo hilo iddi khamis gede

No comments:

Post a Comment