Diamond platnumz akipagawisha mashabiki wake wa mkoa wa mtwara waliofurika katika tamasha la ties&heels lililodhaminiwa na vodacom tanzania na kufanyika kwenye ukumbi wa makonde beach mkoani mtwara jana...002.. msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini
diamond platnumz akicheza na madansa wake wakati wa tamasha la ties &heels lililodhaminia na vodacom tanzania na kufanyika katika ukumbi wa makonde beach mtwara jana
mwanamuziki huyo aliambatana na kipenzi chake; malkia wa bongo movie nchini tanzania;wema sepetu hamethibitisha kauli hiyo kwa mashabiki wake waliofurika katika tamsha maalum la ties&heels lililofanyika katika ukumbi wa makonde beach mkoani mtwra na kudhaminiwa na vodacom tanzania.
amesema tangu kuanza ameanza kujiingia kuwa mwanamuziki wa wa muziki wa kizazi kipya alianza kwa shoo yake mkoani mtwara ambapo alionesha kuwakuna wapenzi wengi na aliendelea kujulikana maeneo mengi hapa nchini kutokana na wapenzi walivyoanza kumkubali; na ndipo alipowaahidi wapenzi hao kuwa ataendelea kuwasili mkoani humo kila mwaka na kulipa fadhila kwa mafanikio anayoyapata
Akimzungumzia juu ya shoo hiyo iliyokuwa ya kukata na shoka wa wakazi wa mkoa wa mtwara; mkuu wa kanda ya kusini ya vodacom
Tanzania henry Tzamburakis amebainisha kwamba tukio hili limeandaliwa ikiwa ni sehemu ya burudani kwa wateja wetu;kufurahi kwa pamoja na kuwashukuru wateja wetu kwa kutumia huduma zetu
"Hakuna kitu ambacho tunajali na kukithamini kama wateja wetu ;haijalishi wawe kona gani ya tanzania ,walipo popote tutawafikia.Vodacom ilikuwepo nchini kwa zaidi ya miaka kumi na sasa na kipindi chote hicho watanzania wameonyesha kutunga mkono na kutufanya tuwe mtandao hunaoongoza nchini,"Alisema Tzamburakis.
Kwa kuongezea Tzamburakis kuwa hanawashukuru mashabiki wa diamond kwa ushirikiano wao waliouonyesha
No comments:
Post a Comment