raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania mheshimiwa dkt.Jakaya mrisho kikwete amemtumia waziri wa habari,vijana,utamaduni,na michezo,dkt fenella mukangara kufuatia kifo cha mwanamuziki maarufu wa siku nyingi,muhidini maalimu gurumo kilichotoke tarehe 14 april,2014 katikahospitali ya taifa ya Muhimbili(MNH) alikokuwaamelazwa kwa matibabu ya ugonjwa wa moyouliomsumbua kwa muda mrefu.
No comments:
Post a Comment