Hit Maker wa Tupogo Ommy Dimpoz leo amepost kipande cha video ambacho ni kionjo cha wimbo wake mpya kwa taarifa za mwanzo inasemekana imefanywa Uingereza na Director kutoka Nigeria Moe Musa,cheki kipande hiki kisha unaweza kutoa coment yako hapo chini.
bonyeza play kuiona
No comments:
Post a Comment